Loading...

Month: July 2018

Historia Ya Luqmaan Mwenye Hikma

Luqmaan alizaliwa katika Bara la Afrika. Jina lakeni Luqmaan bin ‘Anqa’ bin Saadun. Ama Ibn Jariyr at-Twabariy, yeye anasema jina lakelilikuwa Luqmaan bin Tharan kutoka watu wa Aylah (Quds). Alikuwa ni mtu mwema aliyefanya juhudi katika [ … ]

Fadhila Za Kusoma Na Kuhifadhi Qur-aan.

Anasema Allaah (Subhaanahu wa Ta’ala)     }}الَّذِينَ آتَيْنَاهُمُ الْكِتَابَ يَتْلُونَهُ حَقَّ تِلاَوَتِهِ أُوْلَئِكَ يُؤْمِنُونَ بِهِ{{ {{Wale tuliowapa Kitabu, wakakisoma kama ipasavyo kusomwa, hao ndio kweli wanakiamini}}[Al-Baqarah:121]  Na Anasema Allaah (Subhaanahu wa Ta’ala) [ … ]

Du'aa Kutoka Qur-aan Na Maana Yake

 رَبِّ اجْعَلْ هَـَذَا بَلَدًا آمِنًا وَارْزُق ْأَهْلَهُ مِنَ الثَّمَرَاتِ مَنْ آمَنَ مِنْهُم بِاللّهِ وَالْيَوْمِ الآخِرِ     (البقرة:126) Ee Mola wangu! Ufanye huu uwe mji wa amani, na uwaruzuku watu wake matunda, wale wanaomuamini [ … ]