Loading...

07-Aayah Na Mafunzo: Walioghadhibikiwa Na Waliopotea

Aayah Na Mafunzo Al-Faatihah Walioghadhibikiwa Na Waliopotea صِرَاطَ الَّذِينَ أَنْعَمْتَ عَلَيْهِمْ غَيْرِ الْمَغْضُوبِ عَلَيْهِمْ وَلَا الضَّالِّينَ ﴿٧﴾ 7. Njia ya wale Uliowaneemesha, si ya walioghadhibikiwa wala waliopotea. Mafunzo: ‘Adiy bin [ … ]

079-Asbaabun-Nuzuwul: Basi ole kwa wale wenye kuandika kitabu kwa…

أسْبابُ النُّزُول Asbaabun-Nuzuwl Sababu Za Kuteremshwa (Baadhi Ya Aayaat Za Qur-aan) Al-Baqarah Aayah 79: Basi ole kwa wale wenye kuandika kitabu kwa…  فَوَيْلٌ لِّلَّذِينَ يَكْتُبُونَ الْكِتَابَ بِأَيْدِيهِمْ ثُمَّ يَقُولُونَ هَـٰذَا مِنْ [ … ]

044-Asbaabun-Nuzuwul: Je, mnaamrisha watu watende mema na mnajisahu nafsi zenu…

Asbaabun-Nuzuwl Sababu Za Kuteremshwa (Baadhi Ya Aayaat Za Qur-aan) Al-Baqarah Aayah 44: Je, mnaamrisha watu watende mema na mnajisahu  أَتَأْمُرُونَ النَّاسَ بِالْبِرِّ وَتَنسَوْنَ أَنفُسَكُمْ وَأَنتُمْ تَتْلُونَ الْكِتَابَ ۚ أَفَلَا تَعْقِلُونَ ﴿٤٤﴾  [ … ]

06-Aayah Na Mafunzo: Maana Ya Njia Iliyonyooka

Aayah Na Mafunzo Al-Faatihah Maana Ya Njia Iliyonyooka اهْدِنَا الصِّرَاطَ الْمُسْتَقِيمَ ﴿٦﴾ 6. Tuongoze njia iliyonyooka. Mafunzo: Hadiyth Ya Kwanza: An-Nawaas bin Sam’aan  (Radhwiya Allaahu ‘anhu) amehadithia kwamba Rasuli wa Allaah (Swalla [ … ]

Kauli Ya Swahaba Kuhusu Baadhi Ya Aayah Katika Qur-aan

Aayah zinazotaja majuto ya nafsi pale inapotolewa roho kwa sababu ya  maovu iliyoyatenda zilizomo katika Surat Az-Zumar, zimetangulizwa na Aayah  ambao yenye kutia matumaini makubwa baada ya mwanaadam kutenda madhambi, nayo ni [ … ]

03-Aayah Na Mafunzo: Maana Ya Ar-Rahmaan Na Mwenye Kurehemu

Aayah Na Mafunzo Al-Faatihah Maana Ya Ar-Rahmaan, Mwenye Kurehemu  Al-Faatihah Aayah 3:  بِسْمِ اللَّـهِ الرَّحْمَـٰنِ الرَّحِيمِ ﴿١﴾ Kwa Jina la Allaah Ar-Rahmaan, Mwenye kurehemu.  الْحَمْدُ لِلَّـهِ رَبِّ الْعَالَمِينَ ﴿٢﴾ AlhamduliLLaah [ … ]

Asbaabun-Nuzuwul (Sababu Ya Kuteremshwa) Mu ‘awwidhataan

www.somaqurani.com Al-Mu’awidhataan ambayo ni ‘Qul-A’uudhu bi Rabbil-Falaq Na Qul-A’uudhu Birabbin-Naas’ Wafasiri wa Qur-aan wamesema kwamba kijana wa kiyahudi alikuwa akimhudumia Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) akaja Myahudi na [ … ]

Historia Ya Luqmaan Mwenye Hikma

Luqmaan alizaliwa katika Bara la Afrika. Jina lakeni Luqmaan bin ‘Anqa’ bin Saadun. Ama Ibn Jariyr at-Twabariy, yeye anasema jina lakelilikuwa Luqmaan bin Tharan kutoka watu wa Aylah (Quds). Alikuwa ni mtu mwema aliyefanya juhudi katika [ … ]